bio
Tabia njema ndio msingi Bora katika Kila Jambo. Napenda kumuueshimu Kila mmoja anayefanya hivyo na kwangu pia. Sipendi kudhulumu Cha mtu. Mimi Ephraim mara zote nimejikuta na jali Sana hisia za pembeni yangu. Ndoto yangu siku zote naitaji kuielimisha jamii kwa maigizo ya micheazo ya video. Nashukuru kwa Fu hii kwenu multiplechoive Talent factory nitajitahidi kufanya my best myself nakubali najua. Only thing Ni prove Hilo mbele yenu....??